VIDEO
Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ambaye muda mwingi
amekuwa akiishi Afrika Kusini ameelezea jinsi maisha ya Bongo
yalivyomchosha huku usumbufu anaopata kutokana na makalio yake makubwa
ikiwa moja ya sababu.Akipiga stori mwandishi wetu, Masogange alisema umbile lake hilo limekuwa likimfanya akose amani anapokatiza mitaani, tofauti na Sauzi ambako wanawake wengi wamefungashia huku yeye akionekana ‘cha mtoto’.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )