Baada
ya urafiki wao kuyumba kwa kipindi cha zaidi ya miezi miwili hivi
iliyopita, mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel
wameonyesha kumaliza tofauti zao na kurudisha urafiki wao kama ilivyo
kuwa awali.
Urafiki wa Wema na Aunt ulionekana kuyumba na kufikia hatua ya Wema kutohudhuria baby shower party ya Aunt ambapo Aunt alidai kumualika Wema na hata havi karibuni aunt alipojifungua mtoto Wema hakusema chochote kwenye ukurasa wake mtandaoni ukizingatia kuwa wakati wa ushosti wao alikuwa na kawaidia ya kuweka picha kadhaa za Aunt wakati wa ujauzito na vile vile Wema amakuwa na kawaida ya kuwapongeza mastaa wenzake wakijifungua kupitia ukurasa wake huo.
Kwa kipindi cha miezi hiyo yote, wawili hawa amabo walikua mashosti wa nguvu hawakuwahi ‘kupostiana’ kwenye kurasa zao kwenye mtandao picha wa Instagram tofauti na awali. Lakini jana alianza Wema kwa kuweka picha ya Aunt kwenye ukurasa wake na kuandika mistari hii “Ka baby haka....!!!" kisha "Mama Cookie wangu....”
Muda kidogo Aunt naye aliibuka na kuweka picha ya Wema na kuandika “Wa kwangu mm Peke yang Mtag bac Mwambie Nampenda mm apa....” Kisha akaweka picha hiyo hapo juu wakiwa wanasukana Aunt aliandika “My One an Only....Msusi wang mm no saloon “
Kwa mara nyingine wale wapambe nuksi wa Wema na Aunty ambao walikuwa wakisigana kwenye kipindi chote hicho ambacho wawili hao walikuwa hawapo sawa wameumbuka na kuamua kuungana na wadau na mashabiki wengi ambacho wameonyesha kufurahia kitendo cha mashosti hao kuwa karibu kama zamani kwa kumwaga COMMENTS na LIKES za kutosha.
Wapambe ndiyomana mnaitwa NUKSI.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )