Wakuu
huku mvutano kati ya kenya na Tanzania ukiendelea kushika kasi juu ya
wapi bombo la mafuta ghafi kutoka Uganda lijegwe..wanamgambo magaidi
hatari wa somalia (Alshabab) wamejiapiza kwamba iwapo bomba hilo
litapita Kenya kwenda kwenye bandari ya lamu bas halitachukua sekunde
kwani lazima walilipue..akiongea kwa umakini na bila woga msemaji wa
kundi hilo amewashauri waganda kwamba wasipoteze pesa zao na nguvu zao
bure kwani bomba likipita Kenya lazima watalilipua tu.....
my take.wakenya imalisheni ulinzi was nchi yenu kwanza kabla ya kukalibisha miradi ya nchi za watu.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )