E-News ilizungumza na Mirror ambaye alionekana kumtetea meneja wake ambaye ni Petit Man.
Mirror alisema kuwa mashabiki wanapaswa kuwa na subira kwani mipango ya kumpandisha zaidi Mirror inaendelea kufanyika, na kusisitiza kinachohitajika ni uvumilivu tu wa mashabiki.
Petit Man naye alivunja ukimya na kuzungumzia tuhuma hizo na kusema mashabiki wawe wavumilivu na kuwa nyimbo za Mirror zina uhai mrefu na huwa zinakaa katika chati kwa muda mrefu hivyo hakuna haja ya kutoa nyimbo mara kwa mara.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )