March 13 2016 usiku wa
saa moja kumetokea ajali ya basi la Leina Tours lililoanguka maeneo ya
Kimara Bucha, Dar es salaam na taarifa rasmi zinasema lilikua likitokea
Kahama Shinyanga kuja Dar es salaam ambapo idadi ya waliofariki
haijatolewa ila waliojeruhiwa ni zaidi ya 30 na walikimbizwa
Mwananyamala Hospitali na Muhimbili.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )