Sidhani
kama Utapingana na Mimi kwamba kwenye Rotation ya ngoma Tanzania kwa
sasa Wimbo wa Harmonize aliomshirikisha Diamond Platnumz BADO Ndio
unaongoza kuchezwa zaidi Lakini Pia Hutapingana na mimi nikikwambia
kwamba Harmonize naye Katoboa Afrika kwa sasa.
Juzi Kati Wiki Iliyopita Diamond alinikaribisha Katika Ofisi zake za WCB na Tukapata nafasi ya Kuzungumza Machache ambayo nitakuwa nakumegea kimoja Kimoja.
Cha Kwanza nilichotaka kujua kutoka kwake ni Kwamba Wimbo wa Msanii wake Harmonize ambao unakwenda kwa jina la BADO akiwa Ameshirikishwa yeye Mwenyewe anaona Umefika alipokuwa akitarajia na Majibu yake ndiyo yaliyoleta Point hiyo hapo Juu….
Diamond amenijibu swali hilo kwa Kusema kwamba Wimbo huo Umefika Zaidi ya Walipokuwa wakitarajia na Kiufupi akasema Wimbo huo Umemzidi Umri Msanii wake Huyo ambaye walitaka Wimbo wa Kumrudisha Harmonize tena baada ya Aiyola na Urudiji wake Umekuwa Mkubwa Kupitiliza na Mond akakumbuka Maneno ya Mkubwa Fela ambaye kabla ya kutoa Wimbo huo alimwambia Mkubwa huu wimbo Unamzidi Harmonize Umri Utampa tabu.
Diamond Ameshukuru Management yake kwa kuifanyia Promotion ngoma hiyo hadi imefika Pazuri zaidi

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )