Diamond amewakutanisha kwa mara ya kwanza kwenye project yake, tangu jana wote peter na paul wapo south africa wakishoot video na diamond.
Jana wote wameshare picha wakiwa pamoja wakishoot video hiyo na kuamsha furaha ya mashabiki wao barani africa , na kusubiri kwa hamu kazi hiyo.
Nyimbo hiyo ya diamond inatarajiwa kupata attention kubwa miongoni mwa mashabiki na hii kuendelea kumtangaza zaidi diamond.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )