Najua kuna watu wangu wao ni damudamu milele na mmiliki wa mdundo ‘Bado’ Harmonize, Kama hukupata time ya kuitazama show zake za Mwanza April 16 2016 na Dodoma
April 23 2016 basi tayari nimekusogezea hapa mwanzo mwisho kuanzi
hotelini hadi on stage… Ni ruksa kuzitazama na kuzidondosha comments
zako hapo chini ili baadae Harmonize mwenyewe apite kuzisoma.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )