Featured
Loading...

VideoMPYA: Snura anatualika kuitazama video yake mpya ya ‘chura’

 

Sauti yake Snura tunayo kwenye hit single ‘majanga‘ ambayo ndio ilimtoa, sasa kwenye mfululizo wa nyimbo zake anazoendelea kuzitoa amefikia hapa kwenye kuitoa hii chura ambayo video yake ni official lakini yeye humo ndani haonekani.. ukishaitazama sio mbaya ukiacha na comment yako ili akipita ajue watu wake wamesemaje.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top