Ng’ombe hazeeki maini. Hilo amelithibitisha mkongwe wa Hip Hop Bongo, Sugu kwenye wimbo wa ‘Freedom’.
Kutokana na kuwa chama pinzani kwenye siasa, mashabiki wengi wanafikiria kuwa jina la nyimbo hiyo ‘Freedom’ imelenga kwenye upande huo wa siasa.
Kutokana na kuwa chama pinzani kwenye siasa, mashabiki wengi wanafikiria kuwa jina la nyimbo hiyo ‘Freedom’ imelenga kwenye upande huo wa siasa.
Akiongea kwenye kipindi cha FNL, kinachoruka kupitia EATV, Sugu amekanusha Freedom kuwa wimbo wa siasa.
“Hapana Freedom ni nyingine, Freedom ni
mtu kuweza kuwa huru kuweza kurudi tena studio. Master J, MJ, Daxo Chali
kufanya kile nachopenda kufanya na kuweza kufanya kile ambacho kule
nyuma nilishindwa kukifanya. Kwahiyo sasa hivi ninaweza kusema nina
Freedom. Freedom inabeba mambo mengi ikiwemo kukataa kuwa kwenye
stress,” aliongezea.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )