From @jidejaydee -
Thank you for visiting me doll( Ray C)
A message of Hope:
Kila Mtu Anapitia Magumu Katika Maisha
Kwa Njia Tofauti
Hakuna Jaribu Lisilo na Mlango wa Kutokea, Amini na Amua
Nakupa Moyo na Mungu Akusaidie
Kwa Yote Unayopitia
Akuondolee Akuepushie
Na Akupe Kufahamu na Kukiri Mabaya πΌπΌπΌπΌπΌπΌ
Watu Wanakupenda
Nakumbuka Tulivyo Anza
Kimtindo nai miss Competition
Pls Come Back
Naamini Bado Unayo Nafasi
Binti Amka Jikaze Anza Mwendo
Umrembo na Bado Wang'ara π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»
Ni baada ya miaka 6
Tangu kuonana mara ya Mwisho
Story nazo ni ndefu na nyingi
Ombi:
Tuheshimu na kuhurumia matatizo ya wengine, tafadhali msi comment vibaya wala kwa kejeli.
Lolote linaweza kumfika yoyote
SAA yoyote
Tuonyeshe Mapenzi
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )