Usiku wa April 30, 2016 watu wangu wa Geita nao wameukamilisha mwenzi kwa kutazama burudani ya nguvu kutoka kwa mastaa wawili kutokea WCB Harmonize na nyumba ya vipaji THT Ruby
wa hits single ya Forever na nyingine,Burudani imedondoshwa kwenye
ukumbi wa Ambassador pale Geita hapa ninazo picha za tukio nakualika
kuzitazama.
Harmonize na Crew yake kwenye burudani
Ruby kwenye stage na burudani ya nguvu
Mashabiki kwenye shangwe la burudani ya nguvu
Ruby kwenye burudani ya pamoja na watu wake
Kumbukumbu muhimu, Harmonize na watu wake
Harmonize na Crew yake kazini
Harmonize na watu wake kwenye shangwe
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )