Mtoto Mtanzania mwenye umri wa miaka 16 Getrude Clement kutokea Mwanza aliyehutubia mbele ya Maraisi 60 na viongozi wa Mataifa zaidi ya 150 kwenye mkutano wa umoja wa mataifa akiwa mwenye kujiamini usiku wa April 28, amewasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza na kupokelewa na familia yake pamoja na ndugu, jamaa waliofika kumpokea akitokea nchi za umoja wa Mataifa.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )