Mwanamuziki wa nyimbo za Bongo Fleva hapa Nchini, Shilole, Ametumia account yake ya Instagram kueleza kuwa anatarajia kupata mtoto. Katika picha aliyo iweka Instagram,Shilole ameandika "mama kijacho napenda kula😂😂 tag baba kijacho".
Mausiano ya Shilole na Nuh Mziwanda yaliteka vichwa vingi vya habari kwenye magazeti na blog za udaku kutokana na visa na mikasa iliyo kuwepo kwenye mahusiano hayo kabla hawaja achana. Lakini Shilole ikaja kusemekana tena kuwa yupo kwenye mahusiano na mwanamuziki Nedy Music ambapo uvumi huo ulidumu kwa muda kisha umeanza kupoa.
Shilole alivyo weka picha hiyo na kuandika maneno hayo wengi wali m-tag Nedy Music kuwa ndiye baba wa mtoto huyo anaye tarajiwa. Je unadhani kweli Shilole ni mjamzito, Na nanai atakuwa baba?
Acha comment yako hapo chini.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )