Faiza Ally Ameongelea Kuhusu Diamond na Baba yake, Ameandika haya hapa Kwenye Ukurasa wake wa Instagram
Faizaally_ Diamond ni inspiration kwa kina baba wote wanao terekeza watoto wao ! Diamond Ni inspiration kwa single mothers wote wanao lea watoto peke yao ! Diamond ni inspiration kwa watoto wote wanao lelewa na single mothers - single mama tunajua tunapitia mangapi kuwapa watoto wetu mahitaji - wkt mwingine unaweza ukalala hata na mtu mtoto wako apate mahitaji ! NI UHALISIA...... Kwa hiyo MUACHENI DIAMOND ATAMSAMEHE BABA YAKE SIKU AKIAMUA ! SIO WKT MEDIA NA WANANCHI MNATAKA AU KWA SABABU YEYE ANATAKA - MAMA NASIBU KWANZA !!!! AND I LOVE IT! MUACHE APONDE RAHA NA MWANAE MAANA WAO NDIO WANAJUA WAMEPITIA MAMGAPI.... Na Hawa kina baba Diamond wako wengi wakome! waache kuterekeza watoto wao na kukatia tamaa mama zao ! MUACHENI BABA DIAMOND AKOME KIDOGO - ATASAMEHEWA DIAOMOND AKIJISIKIA YUKO TAYARI KUSAMEHE ...... single mothers tunapitia mengi hata sisi tuna tamani kusaidiwa kulea watoto na baba zao ! SINGLE MOTHERS MAMA DIAMOND AWE INSPIRATION KWETU...... mwenye kumsomesha mwanae amsomeshe- mwenye kumuendeleza kipaji amuendeleze na haijalishi unawezo kiasi gani kila mmoja afanye kwa uwezo wake - kuwa single mother sio mkosi wale kilema ni maisha tu na ndio Kama hivyo mnaona MUNGU ANATUBARIKI KWA NJIA TOFAUTI - LEO NAAMINI KUNA WENGI WANGETAMANI WAWE MAMA DIAMOND HATA WALIO KUWEPO KWENYE NDOA KUWA NA MTOTO KAMA DIAMOND SIO KITU KIDOGO - HONGERA MAMA NASIBU ! UKO JUU ! ...... sasa single mother watagini kina baba Diamond waambieni Kama hawa jirudi Na kutunza watoto baadae wakati tunakula bata Na watoto wetu ......! HATUTAKI KERO NDOGO NDOGO-Faiza Ally
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )