Featured
Loading...

SNURA Afunguka Kuhusu Video ya Chura Kupigwa Katika Vituo vya TV...Adai Anaeona Haina Maadili Asiangalie


Mwimbaji Snura wa Majanga amefunguka haya kuhusu maadili ya Video yake mpya ya Chura na kuhusu kama itapelekwa kwenye vituo vya Television:

“Kiukweli video ya Chura nimeifanya maalum kwa ajili ya youtube na wala sina mpango wa kuipeleka kwenye Tv yoyote Tanzania, licha ya kuwa nimetumiwa taarifa kuwa Kenya imeshaanza kuchezwa, kwa wanaosema haina maadili mimi sijaitengeneza kwa ajili ya Tv bali youtube kwa anaependa kuitazama ataitazama na kwa mtu ambaye kwake haina maadili asiingie youtube kuiangalia”  Snura

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top