Featured
Loading...

Bayern Munich Yapigwa Kipigo Kitakatifu na Atletico Madrid Fainali za UEFA


Michuano ya Kombe la Klabu Bingwa barani Ulaya hatua ya nusu fainali imeendelea tena jana, Atletico Madrid wakipata ushindi dhidi ya Bayern Munich katika dimba la Vicente.

Atletico walichomoza na ushindi wa bao 1-0, bao lililofungwa na Saul Niguez.

Timu hizo zitarudiana tena wiki ijayo ikiwa ni mchezo wa mwisho kuweza kumpata mshindi atakayecheza hatua ya fainali ya michuano.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top