Dar es Salaam: Habari ‘hot inayotrendi’ kwa sasa ni kuhusu staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kununua mjengo mpya ambapo siku chache baadaye umeibuka utata juu ya mmiliki halali wa nyumba hiyo.
- MSHANGAO
Chanzo chanyetisha kumbe Diamond hakuinunua yeye nyumba hiyo. - Ijuma lamuanika aliyeinunua.
- MKWANJA KWA TIFFAH
- Aliyeinunua asema mkwanja utakaoingia kutokana na nyumba hiyo uingizwe kwenye akaunti ya ‘Tiffah’.
- DIAMOND ANASEMAJE?
- Utata mwingine, Diamond adai kununua kwa takribani Sh. mil. 120 wakati dalali alitangaza inauzwa mil.100.
- Diamond afunguka kila kitu kuhusu, adai yeye ndiye kainunua.
- Afafanua alivyogharimika mil. 120 kuinunua nyumba hiyo, badala ya mil 100 zinazosemwa .
- NYUMBA ZA DIAMOND
Diamond aanika nyumba zake zote ikiwemo ya Sazui. - -Chanzo: GPL
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )