Featured
Loading...

PICHA 9: Kutoka Hispania Mtanzania Farid Musa anaendelea poa Deportive Tenerife


Najua watanzania wengi wapo katika matumaini na kumuombea winga mshambuliaji wa Azam FC anayeichezea pia timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Farid Musa , ambaye kwa sasa yupo Club Deportive Tenerife ya Hispania akifanya majario.
IMG-20160428-WA0023
Kwa mujibu wa mitandao mingi ya Tanzania imeripoti kuwa mchezaji huyo amefaulu majaribio katika klabu hiyo na ipo katika mazungumzo na Azam FC ilikuweza kumsajili, Farid awali alinukuliwa na millardayo.com kuwa Tenerife atafanya majaribio kwa wiki moja, muda ambao umeshapita na inaonesha amefaulu ndio maana anaendelea kuwepo.
IMG-20160428-WA0027
Stori zote kuhusu maendeleo ya Farid Musa nitakusogezea hapa hapa kwenye millardayo.com, najua wengi wana imani na Farid na wanatarajia anatasini mkataba wa kuitumikia klabu ya Tenerife kama ambavyo inaripotiwa na mitandao ya Tanzania.
IMG-20160428-WA0030
IMG-20160428-WA0022
IMG-20160428-WA0031
IMG-20160508-WA0016
IMG-20160508-WA0021

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top