Leo May 8, 2016, Ulimwenguni kote tunaadhimisha siku ya Mama Duniani na kila mmoja anaisherehekea hii siku kwa namna yake, wakati wewe ukiwa na Bi mkubwa wako home mnafurahi msaniii wa Bongo Fleva Shilole Mohamed a.k.a Shilole yeye kaamua kwenda kuwatembelea Wazee wasiojiweza kwenye kituo cha Bukumbi Mwanza, kutana na picha za tukio zima.
Shilole kwenye shangwe na Wazee siku ya Asante Bi Mkubwa.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )