Mrembo kutoka kiwanda cha Filamu nchini Tanzania Wema Sepetu alikutana na watu wake Usiku wa May 7 2016 kwenye Kiss By Wema Sepetu Party, kama uliikosa hii usijali mtu wangu millardayo.com na Ayo TV ilifika eneo la tukio na nimekuwekea picha 18 kutoka kwenye Kiss By Wema Sepetu Party, usisahau pia kuniachia comment yako hapa
Kutoka kushoto Davina, Wema Sepetu na Steve Nyerere
Wema Sepetu
Idris Sultan
Steve Nyerere
Davina
Kutoka kulia ni Martin Kadinda na Wema Sepetu
JK COMEDI
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )