Featured
Loading...

Siku moja baada ya kumpoteza Patrick Ekeng uwanjani, haya ni matukio 9 ya kusikitisha katika soka


Bado dunia ya soka inakumbuka na kuomboleza kifo cha staa wa soka wa Cameroon aliyekuwa anakipiga katika klabu ya Dinamo ya Romania Patrick Ekeng ambaye alianguka uwanjani May 6 2016 na kupoteza maisha dakika ya 70. Haya ni baadhi ya matukio 9 ya kusikitisha katika soka.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top