Featured
Loading...

Kauli ya Canavaro kabla ya Yanga kucheza na Medeama July 16 2016


July 16 2016 Dar es Salaam Young Africans watashuka uwanja wa Taifa Dar es Salaam kucheza mchezo wao wa tatu wa Kundi  A wa michuano ya Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana, Yanga imepoteza michezo yote miwili ya mwanzo, Ayo TV ilimpata nahodha wa Yanga Nadir Haroub Canavaro azungumzie maandalizi.
“Kwa upande wetu tumejiandaa vizuri kuelekea mchezo wa Jumamosi, hususani huu ni mchezo muhimu kwetu kupata ushindi, kuhusu kilichotugharimu katika mechi mbili naweza kusema ni ugeni tu na wenzetu wanauzoefu kama ambavyo uliona katika mechi ya TP na MO Bejaia walipata nafasi wakazitumia”

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top