Featured
Loading...

KIM KARDASHIAN AMETOA SABABU ZA KUONEKANA KWENYE VIDEO YA KANYE,


kim-kardashian-800

Mke wa mwanamuziki Kanye West, na mama wa watoto wawili Kim Kardashian ameongelea kuhusu video iliyoachiwa na Kanye West ambayo inawaonesha watu wakiwa watupu.

kim kanye

Kim amesema kuwa hakuiona video ya mwisho iliyokuwa tayari (final editing) ya wimbo wa ‘Famous’ wa Kanye West, kwasababu huwa anapenda sana suprise.

Kim-Kardashian-696x348“I actually never saw the final edit of it. I did that kind of on purpose because I love to be surprised. It was, like, three, four months in the making, so I obviously knew it was going on, but I didn’t actually see the final cut until he debuted it at the Forum. It was really cool.” alisema Kim.


Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top