Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema kuwa awamu ya
pili ya mabasi yaendayo kwa kasi jijini Dar yatatumia nishati ya gesi
asilia badala ya mafuta.
Katika awamu ya pili, mabasi mapya 200 ya mradi huo yanatarajiwa kuingizwa nchini.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )