TANZIA: Mtanzania, Samson Charles Bidan (20), aliyekuwa akiishi huko
katika jiji la North Plate nchini Marekani, amefariki dunia baada ya
kutumbukia mtoni
Alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu akijiandaa na mashindano ya michezo vyuoni (NCAA)
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )