Mfanyabiashara Mohamed Dewji aongea na wanahabari. Aiomba Klabu ya Simba
imuuzie asilimia 51 ya hisa kwa bilioni 20 ili alete mafanikio. “Kama
unataka mafanikio kwenye mpira, hakuna zaidi ya fedha. Simba haiwezi
kuwa na miaka 80 leo haina hata uwanja wa mazoezi. Alisema Dewji
Amesema bajeti ya Yanga na ile ya Azam FC ni mara mbili ya ile ya Simba,
jambo linaloifanya klabu hiyo kuendelea kubaki kuwa msindikizaji.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )