Featured
Loading...

Mtanzania Awekwa Bondi na kaka yake kisa Madawa ya kulevya huko India. Sambaza Habari hii iwafikie ndugu zake


Mtanzania amuweka mdogo wake Bondi kwaajili ya Madawa ya kulevya huko INDIA sasa wenye mzigo wamecharuka wanataka pesa zao hali sio nzuri kabisa kwa mdogo mtu Haya ndio maneno yalio sikika akiyasema Mdogo mtu kwenye Video hii.

“Nakaa Magomeni  Mtaa chem Chem na Idrisa kwa hiyo Mwambieni  Juma, Mama yangu anaitwa Rukia Daudi Baba yangu anaitwa Akida anakaa idrisa na Chem Chem mwambieni  Juma amekula Hela za watu mimi kaniweka Gelenta huku ( Bondi ) mama yangu anaitwa Rukia Daudi mama yake mama yake Juma anaitwa Mariamu Rauwa kwaiyo juma afanye arudishe hela za watu Juma anakaa Kunduchi”. kama unamfahamu huyo Juma mama yake mfikishie ujumbe huu..

Sambaza Habari hii imfikie JUMA na ndugu zake kokote walipo.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top