Wasanii wa muziki kutoka TMK Wanume Family, Chege na Temba wametua nchini Afrika Kusini wiki hii kwa ajili ya maandalizi ya kazi yao mpya.
Temba na Justin Campos
Wawili hao kila mmoja amepost picha katika mitandao wake wa kijamii zinazoonyesha wakifanya mazungumzo na director Justin Campos kutoka Gorilla Films.
Hivi karibuni mejena wa wasanii hao, Mkubwa Fela kupitia instagram aliandika:
Mh Temba na mtoto wa Mama Saidi Chege chiiiii walivyo ingia ingia south Africa asubuhi hii wameenda kujenga kazi wadau kwa
pamoja tuijenge nchi yetu.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )