Kocha wa zamani wa vilabu vya Everton na Manchester United,
David Moyes amepata dili la kuwafundisha makocha wa nchini ya Jordan.
Moyes amekuwa akiwanoa makocha hao wa nchini Jordan ili kuwaongezea ujuzi amekuwa akiwa fundisha na makocha wengine lakini zaidi Moyes amekuwa akiwanoa makocha wa timu za taifa za Jordan.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )