Wanaowania tuzo za 2016 tayari wametajwa ambapo miongoni mwao, Watanzania wanaowania ni Dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo, Diamond Platnumz mwenyewe, Alikiba, Yamoto Band, Vanessa Mdee, Linah na Producer Tudd Thomas kama inavyoonekana kwenye hii list hapa chini.
Japokua
hapa wameandika Sauti Sol wamemshirikisha Alikiba, kitu sahihi ni
kwamba wimbo huu ni wao wote na sio Alikiba kushirikishwa, huo wimbo wa
pili wa Akothee ndio Diamond kashirikishwa.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )