Featured
Loading...

Wauguzi Manesi Waliosababisha Mama Mjamzito Akajifungulia Korido Watumbuliwa



SHINYANGA: Wauguzi wawili wa kituo cha Afya Lyabukande, wamesimamishwa kazi sababu ya uzembe uliosababisha mwanamke mjamzito kujifungulia kwenye korido.

Pia wamefunguliwa mashtaka kwa tuhuma za kukiuka maadili ya utumishi. .

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top