Katikati ni katibu wa Baraza la sanaa Tanzania, BASATA, Godfrey
Mungereza akizungumza na wanahabari wakati wa kutoa tamko la kumfungulia
Nay. Kushoto nia msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na kulia
mwenye miwani ni Meneja wake, Maneno John.
Nay wa Mitego amefunguliwa baada ya kutimiza masharti yote aliyopewa na
pia kuomba msamaha kuwa hata rudia tena kufanya makosa aliyofanya.....
Una Maoni gani?
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )