Mwanamuziki
nyota Christian Bella akikonga nyoyo za maelfu ya wananchi wa jiji la
Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Dkt John Pombe Joseph
Magufuli katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza Ijumaa Agosti 12, 2016
Mwanamuziki
nyota Christian Bella akitumbuiza maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza
wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli
katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza Ijumaa Agosti 12, 2016
Mwanamuziki
nyota Christian Bella akiimba mbele ya maelfu ya wananchi wa jiji la
Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Dkt John Pombe Joseph
Magufuli katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza Ijumaa Agosti 12, 2016
Mwanamuziki
nyota Christian Bella akipongezwa kwa kukonga nyoyo za maelfu ya
wanannchi wa jiji la Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza
Ijumaa Agosti 12, 2016
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwanamuziki nyota
Christian Bella baada ya kukonga nyoyo za maelfu ya wanannchi wa jiji la
Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa katika uwanja wa Furahisha
jijini Mwanza Ijumaa Agosti 12, 2016
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )