Sasa Agosti 2, 2016 staa huyo amepatikana kwenye Exclusive ya millardayo.com na AyoTV kayaongea haya >>> ‘Mimi
na basata tumeshamalizana kuanzia sasa hivi watu waendee tu ku-request
wimbo unaendelea kupigwa media zote mimi na basata tumeyamaliza, wimbo
una version mbili na video nne tofauti’
‘Video
ya kwanza itaanza kutoka wiki ijayo, version ya pili ya audio ya ‘pale
kati’ ndio ina marekebisho ambayo yalifanywa kutokana na maagizo ya
BASATA, wimbo huu hautakuwa na utofauti sana na ule wa mwanzo ila maneno
machache tu nimebadili kama walivyotaka‘ – Nay
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )