Askari
wa kikosi cha kutuliza ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha
viungo kabla ya kuanza mazoezi ya kutuliza ghasia.
Askari
Polisi wa kikosi maalum cha polisi (CRT) wa mkoa wa Iringa wakiwa
katika mazoezi ya utayari wa kukabiliana na matukio yoyote
yatakayojitokeza katika maeneo mbalimbali.
Askari
wa vikosi vya kutuliza ghasia wa mikoa mbalimbali wakiwa na magari yao
wakati wa mazoezi ya utayari wa kupambana na matukio mbalimbali ya
uhalifu na wahalifu katika maeneo mbalimbali.
Askari
wa vikosi vya kutuliza ghasia wa wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi
ya utayari wa kutuliza ghasia na kukabiliana na matukio yoyote ya
uhalifu na wahalifu.
Askari
wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Lindi wakifanya mazoezi magumu ya
kijiweka tayari kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza ikiwemo
watu wasiotii amri za Jeshi la Polisi ikiwa ni pamoja na kutofuata
sheria za nchi.
Askari
Polisi wa vikosi vya kutuliza ghasia wa mikoa ya Lindi, Iringa, kanda
maalumu ya Dar es salaam na mikoa mengine wakipokea maelekezo mbalimbali
wakati wa mazoezi ya tayari katika kukabiliana na matukio mbalimbali ya
uhalifu na wahalifu (Picha zote na makao makuu ya Jeshi la Polisi.)
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )