Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili Nairobi, Kenya kuhudhuria Mkutano
wa Mkuu wa Sita wa Wakuu wa Nchi wa TICAD (TICAD VI) utakaofanyika
Agosti 27 -28, mwaka huu.
Waziri Mkuu anahudhudia mkutano huo kwa niaba ya Rais, John Pombe Magufuli.
Leo asubuhi Waziri Mkuu amekutana na viongozi wakuu mbalimbali wa makampuni ya kibiashara kutoka Japan ambao wamekuja kuhudhuria mkutano huo

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )