Jana usiku katika taarifa ya habari ya TV1, habari ikielezea
uhamasishaji wa wasanii kuupa kipaumbele miziki yenye mahadhi ya
uswahili kama segere na singeli nimemsikia Wema Sepetu akihojiwa na
kuzungumza haya:-
"Mimi pamoja na uzungu wangu lakini huwa napenda nyimbo zenye uswahili kama hizi"
Kwa aliyeelewa vizuri hiyo kauli ya Wema ilimaanisha nini? Je Kweli Wema ni Mzungu?
Nawasilisha.
"Mimi pamoja na uzungu wangu lakini huwa napenda nyimbo zenye uswahili kama hizi"
Kwa aliyeelewa vizuri hiyo kauli ya Wema ilimaanisha nini? Je Kweli Wema ni Mzungu?
Nawasilisha.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )