Video ya aibu inayomuonesha msanii maarufu wa filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ akicheza kihasara mbele ya mwanaume imevuja, .
‘Klipu’
hiyo ambayo Wema anaonekana akikata mauno huku suruali aliyokuwa amevaa
ikimvuka na kuacha wazi sehemu ya makalio yake, ilivujishwa hivi
karibuni na mdau mmoja wa burudani ambaye hakupenda jina lake liandikwe
Hii
video niliichukua siku ya ile eventi ya Christian Bella ya kutimiza
miaka 10 pale Escape One. Wakati akicheza na msanii wa Kundi la Pah One
aitwaye Igwe, Wema alionekana kama alikuwa amelewa, alikuwa akikata
mauno lakini aibu zaidi ilikuwa pale ambapo ile suruali yake ilipomvuka
na sehemu ya makalio yake kubaki wazi.
Sidhani
kama alikuwa kavaa kufuli, baadhi ya watu waliokuwa wakimkodolea macho
walishindwa kuamini kama ni Wema yule wanayemjua,” alisema mnyetishaji
huyo.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )