FUNGA MWAKA : @zarithebosslady atembelea kituo cha watoto yatima nchini Uganda kwaajili ya kutoa zawadi / kilealichojaaliwa kwa mwaka huu.. Hakika hili ni jambo jema Sana. #zariallwhiteparty