Matatizo katika uzalishaji wa mbegu za kiume inahusiana na
kutokuwepo kwa mbegu za kiume kwenye manii au uwepo wa mbegu kidogo sana
katika manii. Mbegu za kiume huwa zinachunguzwa kwa kutumia kifaa
maalum au darubini katika maabara, kwa kawaida mwanaume ili aweze kumpa
mwanamke mimba anatakiwa atoe kiasi cha mbegu kati ya milioni ishirini
hadi milioni mia tatu hamsini kwa tendo, chini ya milioni ishirini
huwezi kumpa mimba mwanamke. Endapo kiwango cha mbegu zitakuwa kidogo
kitaalam hali hiyo huitwa ‘Oligospermia’ na kama huna kabisa mbegu hali
hiyo huitwa ‘Azoospermia.Dalili za kutokuwa na mbegu za kiume Hakuna
dalili za moja kwa moja kusema kwamba utaumwa kitu fulani, lakini dalili
zifuatazo huambatana na tatizo hili; kwanza ni kukaa katika mahusiano
kwa kipindi kisichopungua …
GPL
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )