Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho Septemba Mosi litaadhimisha
miaka 52 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo. Katika maadhimisho hayo, jeshi
hilo limeeleza kuwa litaadhimisha miaka 52 kwa kufanya usafi maeneo
mbalimbali nchini.
Leo asubuhi zimeonekana ndege za JWTZ zikafanya mazoezi kati angala la jiji la Dar es Salaam ikiwa ni maandalizi ya maadhimisho ya miaka 52.
Tazama video hapa chini kuonda ndege hizo.
Leo asubuhi zimeonekana ndege za JWTZ zikafanya mazoezi kati angala la jiji la Dar es Salaam ikiwa ni maandalizi ya maadhimisho ya miaka 52.
Tazama video hapa chini kuonda ndege hizo.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )