Msimu wa Burudani ya tamasha la FIESTA 2016 unaendelea na usiku wa September 18 2016 ilikuwa ni zamu ya Morogoro ambapo imeongezeka kwenye list ya mikoa iliyopata burudani hiyo.
Kama hukubahatika kuwepo Morogoro,
Nakusogezea picha ujionee mapokezi na shangwe ilivyokuwa mkoani hapo
ambapo inaonesha waliimiss sana burudani ya FIESTA ambapo 2015 haikuwepo.
Jux
Ben Pol
Chegge
Baraka the Prince
Fid Q
Man Fongo
Mama wa Marehemu aliyekuwa msanii wa bongofleva Albert Magweha
Christian Bella
Prince Dully Skies
Belle 9
Jux
Vanessa Mdee
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )