Mwana Fa amadai kwa sasa muziki wa ma group hauwezi kulipa tena kutokana
na hali ya uchumi wa muziki kwa sasa, ametolea mfano wa ma group ya
muziki ya Marekani waliyokuwa wameyaiga kama D12 yalivyokufa na wasanii
wake kubaki solo kwa kuwa ma group kiuchumi haulipi
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )