MKALI
wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa, anaona mwaka
ndiyo unaisha, lakini bado hajatimiza malengo yake aliyojipangia, jambo
ambalo linamuumiza kichwa.
Kajala aliiambia Over Ze Weekend kuwa, mwaka huu haukuwa mzuri kwani vitu vingi vilikuwa haviendi sawa hivyo alijikuta anashindwa kutimiza malengo aliyojiwekea.
“Kiukweli sijatimiza malengo yangu hata kidogo, naumia mno kwa vile pia mwaka ulikuwa mgumu mno na pesa zilikuwa hazionekani,” alisema Kajala.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )