TUME
ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa orodha ya wanachama 15 wa vyama vya
siasa walioteuliwa kugombea ubunge katika majimbo ya Singida Kaskazini
na Longido.
Tume
pia imetoa orodha ya majina ya wanachama wengine 15 wa vyama mbalimbali
ambao wamejitokeza kugombea udiwani katika uchaguzi mdogo unaofanyika
kwenye kata sita.
Walioteuliwa
kugombea ubunge katika jimbo la Longido ni Kisiongo Mayasek Olokuya
(CUF), Francis Ringo (CCK), Dk Steven KIruswa (CCM), Mgina Mustafa
(AFP), Godwin Sarakikya (ADA TADEA), Feruziy Furuziyson (NRA), Ngilisho
Paul (Demokrasia Makini), Simon Bayo (SAU) na Robert Lukumy (TLP).
Waliojitokeza
kugombea ubunge katika jimbo la Singida Kaskazini ni Omari Sombi (AFP),
Dalphina Mlelwa (CUF), Monko Joseph (CCM), David Djumbe (Chadema), Aloyce Nduguta (ADA TADEA) na Mchungaji Yohana Labisu (CCK)
Katika
uteuzi huo pia kuna walioteuliwa kugombea udiwani katika kata ya
Kimandolu ambako kuna wanachama wa vyama vitano vya Gaudence Lyimo
(CCM), |Rashid Nyawaya (CUF), Hamis Mgoya ( NRA), RAmadhani Mcharo
(Demokrasia Makini), na Shafii Kiktunda (SAU).
Katika
kata ya KIhesa halmashauri ya Iringa Mjini ameteuliwa Sawani Juli
(CCM), Kata ya Keza wilayani Ngara walioteuliwa ni Eradiu8s Bitemele
(NCCR Mageuzi), Bakundukize Gwaibondo (CCM), Philipo Bazubwenge (CUF).
Kata ya Kurui wilayani Kisarawe wagombea ni Kunikuni Salumu (CCM) na
Kikumbi Mwalimu (CUF),
Kata
ya Bukumbi wilaya ya Uyui wagombea ni Kasoga Sizya (CCM), Edward
Msigala wa (CUF) wakati kata ya Kwagunda wilaya ya Korogwe walioteuliwa
ni Said Shenkawa (CCM) na Yusuf Senkawa wa CUF.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )