Mwanamuziki Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake ambao amemshirikisha mwanamuziki Rick Ross kutoka nchini Marekani.
Wimbo
huu ulikuwa unasubiriwa kwa hamu kubwa na watu mbalimbali, kwani hata
wakati wa utayarishaji wa video hii, picha mbalimbali za Diamond akiwa
na Rick Ross zilisambazwa mitandaoni, kila mmoja akiwa na lake la
kusema.
Tazama video hiyo hapa chini
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )