Diva
sio Loveness tena kuanzia sasa! Mtangazaji huyo wa Clouds FM
amebadilisha jina lake mahakamani na kuwa ‘Diva Gissele D. Malinzi’
Diva ametuambia kuwa kuanzia Jumatatu ijayo atabadilisha kila kitu kilichokuwa na jina lake la zamani ‘Loveness’ baada ya kula kiapo mahakamani cha kubadilisha jina.
Kwenye kiapo hicho, Diva amedai ameamua kubadilisha jina hilo kwa sababu za kikazi kwakuwa amekuwa akitumia jina ‘Diva’ kwa kipindi kirefu sasa.
“Professional purpose plus hayo ni majina yangu I so wanted ever since nakuwa, so amma grown up in my 20s, living in my own world, it’s Diva World I just live in it,” Diva ametuambia kuhusiana na sababu za kubadilisha jina.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )