Featured
Loading...

UVIVU SHABIKI IWE FUNDISHO

ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa juzikati aliamua kumjibu shabiki mmoja mtandaoni kutokana na kuwepo kwa watu wengi wanaomsema vibaya mitandaoni.
Akizungumza na mwanahabari wetu mara baada ya kumjibu shabiki Gladmarry Edwine aliyemkejeli kupitia mtandao wa Instagram kuwa ikifika siku ya Kanumba Day (Aprili 7, mwaka huu), Lulu atajiliza ndipo staa huyo alipomtolea uvivu iwe fundisho.
“Yule alinikuta siku hiyo siko vizuri halafu niko Instagram nikaamua kumtolea uvivu kwa kumpaka maneno ya shombo iwe fundisho,” alisema Lulu.
“Yule alinikuta siku hiyo siko vizuri halafu niko Instagram nikaamua kumtolea uvivu kwa kumpaka maneno ya shombo iwe fundisho,” alisema Lulu.
Lulu alimwambia mtu huyo kuwa asijifanye anamjua sana Kanumba kuliko yeye ambaye alikuwa akilala naye kama mchumba wake

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top