|
WATU
kadhaa wanasemekana wamekufa leo asubuhi baada ya basi la Nganga
kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso maeneo ya mlimani kilometa
kadhaa kutoka Ruaha-Mbuyuni katika barabara ya Iringa-Morogoro ambapo
magari yote mawili yameteketea kwa moto.
|
Habari
kutoka eneo la tukio zinasema kwamba mmoja wa watu waliofariki ni
dereva wa Fuso ambao wanasemekana waliteketea kwa moto huo ulioyaharibu
magari hayo.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )